Methali za wanyankole na mafunzo yake kwa vijana wilayani mfano; Bushenyi Na

Loading...
Thumbnail Image
Date
2018-08
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kampala International University, College/School of Education
Abstract
Ningependa kumshukuru babarigu l3wana 1~nos Mirembe na mamangu Keskulu Robinah kwa kunilipia karo hadi chuo kikuu na Mungu awabariki. Hali kadhalika, ningcpcnda kumshukuru kaka zangu Wilber Nuwagaba na Kanycsgyc Allan na dada zangu Ndihukirc Adrinc na Atuhairc Christine pamoja na rafiki zangu kwa rnaornbi yao dhidi ya mafanikio yangu. Pia, ningcpcnda kuwashukuru wahadhiri walionifundisha. Kwanza ningependa kumshukuru mkuu wa idarn ya i~limu ya Kiswahili 13i. Mutcnyo Aidah na msirnarnizi wangu l3wana Aiukunda l~d~vinc miongoni mwa wahadhiri wengine. Ningependa pin kuwashukuru wale waliojitolca kuisoma na kuhakiki tasnifu yangu wakiwcn-io i3w.FKiiza, l3w.l lumphrcy na 13w. Bwcma Keneth. Mwishowc an zaidi, narnshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya bora kuniwezesha kumaliza masomo yangu.
Description
Tasnifu iliyowasilishwa kutosheleza baadhi ya mahitaji ya kuhitimu shahada ya bae katika chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala.
Keywords
wanyankole, Mafunzo, Bushenyi
Citation