Browsing by Author "Bwema, Keneth"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
- ItemUciiunguzi linganisfei wa vifo vya mauaji katika riwava va vipuli vya figo na vile vinavyojitokeza jamiini Uganda Mintarafu Ilavan! Masaka(Kampala International University ,College of Education, 2017-09) Bwema, KenethUtafiti huu ulikusudia kuchunguza ulinganishaji wa vifo vya mauaji katika Riwaya ya vipuli vyo figo na vile vinavyojitokeza nchiniUganda mintarafu wilayani Masaka Nialengo ya utafiti huu yalikuwa,kubainisha hali ya vifo vya mauaji katika riwaya ya vipuli vya figo na vile vinavyojitokeza katika nchi ya Uganda mintarafu wilayani za katikati mwa Uganda hasa Masaka.Kueleza chazo cha vifo kama vinavyojitokeza katika riwaya ya vipuli vya figo. Kuainisha uhusiano kati ya hali hizi mbili, Kupendekeza mbinu za kurekebisha hali hii ya [cimaisha. rvlalengo haya yalitimilika kwa kutumia mahojiano, hojaji zilizozopewa wakazi wa wilaya ya N4asaka. Uteuzi wa sampuli, uchunguzi shirikishi pia. Hizi mbinu zote zilitumika katika Likusanyaji wa data. Wahojiwa 50 ndio walioturniwa kukusanya data hii.