Uchunguzi Li Nganishi Wa Mvutano Kati Ya Ukale Na Usasa Wa Kitamaduni Uliopo Katika Tamthilia Ya Kwenye Ukingo Wa Tiiim Na Ule Wa Jamii Ya Wachaga Mkoani Mosifi

Loading...
Thumbnail Image
Date
2017-08
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kampala International University, school of science with education
Abstract
Utafiti huu umekusudia kuchunguza ulinganishaji wa mvutano kati ya ukale na usasa wa kitamaduni uliopo katika tamthilia ya kwenye ukingo wa thim na ule wa jamii ya wachaga mkoani moshi. Malengo ya utafiti huu yalikuwa; kubainisha hali ya mvutano baina ya mila za zamani na usasa katika tamthilia ya kwenye ukingo wa thim na mvutano wa mila za zamani na usasa ule unaojitokeza katika jarnii ya wachaga,kueleza vyanzo vya mvutano wa mila za zamani na usasa kama unavyojitokeza katilca tamthilia ya kwenye ukingo wa thim na mvutano wa mila za zamani na usasa katikajamii ya wachaga, kubainisha uhusiano kati ya hali hizi mbili yaani mvutano baina ya mila za zamani na usasa, kupendekeza mbinu zakukomesha hali ya mvutano baina ya mila za zarnani na usasa. Malengo haya yalitimilika kwa kutumia mahojiano, hojaji walizopewa wakazi wa moshi, uteuzi wa sampuli, uchunguzi shirikishi pia vitumiwa katika ukusanyaji wa data. Wahojiwa 40 ndio waliotumiwa kukusanya data hii
Description
Tasnifu Ya Utafiti Il1yowasilishwa Kwenye Idara Ya Lugil4 Na Mawasiliano Katika Kitivo Cia Sanaa Na Sayansi Ili Kukidhi Baathi Va Maitaji Ya Kuhitimu Shahada Va Sanaa Na Elimu Ya Chuo Kikuu Cia Kampala International University
Keywords
kitamaduni, Mkoani Mosifi
Citation