Uciiunguzi linganisfei wa vifo vya mauaji katika riwava va vipuli vya figo na vile vinavyojitokeza jamiini Uganda Mintarafu Ilavan! Masaka

dc.contributor.authorBwema, Keneth
dc.date.accessioned2019-11-12T06:16:39Z
dc.date.available2019-11-12T06:16:39Z
dc.date.issued2017-09
dc.descriptionTasnifu va utafiti iliyowasilishwakwenye idara va lugha na mawasiliano katikakitivo cha sanaa na sayansi za jamii il! kukidhii baadhi yamahitaji va kuhitimu shahada va sanaa na elimu va chuo kikuu cha, Kampala International University.en_US
dc.description.abstractUtafiti huu ulikusudia kuchunguza ulinganishaji wa vifo vya mauaji katika Riwaya ya vipuli vyo figo na vile vinavyojitokeza nchiniUganda mintarafu wilayani Masaka Nialengo ya utafiti huu yalikuwa,kubainisha hali ya vifo vya mauaji katika riwaya ya vipuli vya figo na vile vinavyojitokeza katika nchi ya Uganda mintarafu wilayani za katikati mwa Uganda hasa Masaka.Kueleza chazo cha vifo kama vinavyojitokeza katika riwaya ya vipuli vya figo. Kuainisha uhusiano kati ya hali hizi mbili, Kupendekeza mbinu za kurekebisha hali hii ya [cimaisha. rvlalengo haya yalitimilika kwa kutumia mahojiano, hojaji zilizozopewa wakazi wa wilaya ya N4asaka. Uteuzi wa sampuli, uchunguzi shirikishi pia. Hizi mbinu zote zilitumika katika Likusanyaji wa data. Wahojiwa 50 ndio walioturniwa kukusanya data hii.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12306/2634
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKampala International University ,College of Educationen_US
dc.subjectLinganisfeien_US
dc.titleUciiunguzi linganisfei wa vifo vya mauaji katika riwava va vipuli vya figo na vile vinavyojitokeza jamiini Uganda Mintarafu Ilavan! Masakaen_US
dc.typeOtheren_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Bwema Keneth.pdf
Size:
5.34 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: