Usawiri Wa Mwanamke Katika Riwaya Va Said A Mohamed (Utencano) Na Adam Shafi (Kasri Va Mwinyi Fuad

Loading...
Thumbnail Image
Date
2018-09
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kampala International University, school of education
Abstract
Utat’iti huu unahusu jinsi wanawake walivyosawiriwa katika riwaya ya kasri ya mwinyi Fuad na utengano na swala Ia utafiti ni kubaini jinsi waandishi hawa wawili Said A Mohamed( Utengano1980) na( Adam Shall :2007) Kasri ya mwinyi Fuad.Lengo kuu ni kuchanganua usawiri wa mwanamke katika riwaya ya Said A Mohamed (Utengano) na Adam Shall (Kasri ya mwinyi Fuad ).Maswali kadhaa yanaibuliwa ; je,kuna umuhirnu wa kumsawiri mwanamke katika tungo za riwaya katika kuendeleza ploti ?nafäsi ya riwaya inaweza kutathminiwa vipi katika kuendeleza ploti ? ,Je mwanamke anasawiriwa vipi katika riwaya za Said A Mohamed na Adam Shafi ? .Mbinu za utafiti zilizotumika ni uanishaji wa utafiti , upeo wa utafiti , sampuli lengwa, mbinu ya ukusanyaji data iliyotumika ilikua kusoma riwaya hizi mbili , kusoma kazi ya watafiti wengine na kusoma nyaraka mbalimbali katika maktaba ya chuo kikuu cha kimataith kampala. Katika uchambuzi inaonekana kuwa hakuna tofauti ya msingi baina ya waandishi hawa , wote wamemchora mwanamke katika taswira hasi . Jambo hili linatuonyesha kuwa waandishi huandika wakiamini kwamba, wao ni chombo cha kijamii na ni sehemu ya jamii wanayoiandikia Jamii hizi ni zile zilizozugukwa na mila , desturi na Zaidi mambo haya yanakuzwa na mhimili na mawazo yanayoshadidiwa na dini . lJtafiti huu unapendekeza elimu iwe mkombozj kwa mwananike Hi mwanamke ajikomboe kutokana na mfbmo wa ukandamizaji . Elimu itasaidia wanajamii kuondpa mawazo potofu ya kusema kuwa nafasi aliyopewa mwanamke ni mapenzi ya mungu na ndiyo stahili yake
Description
Tasnifu Iliyotolewa Kwa Idara Va Lucha Va Kiswahili Na Mawasiliano Katika Kitovu Cita Elimu Na Masomo Ya Nje Ill Kutimiza Baadhi Va Mahitaji Va Siiahada Va Sanaa Na Elimu Va Duo Kikuu Cha Kimataifa Cha Kampala
Keywords
Usawiri Wa Mwanamke Katika Riwaya Va Said A Mohamed (Utencano)
Citation