Please use this identifier to cite or link to this item: http://hdl.handle.net/20.500.12306/2634
Title: Uciiunguzi linganisfei wa vifo vya mauaji katika riwava va vipuli vya figo na vile vinavyojitokeza jamiini Uganda Mintarafu Ilavan! Masaka
Authors: Bwema, Keneth
Keywords: Linganisfei
Issue Date: Sep-2017
Publisher: Kampala International University ,College of Education
Abstract: Utafiti huu ulikusudia kuchunguza ulinganishaji wa vifo vya mauaji katika Riwaya ya vipuli vyo figo na vile vinavyojitokeza nchiniUganda mintarafu wilayani Masaka Nialengo ya utafiti huu yalikuwa,kubainisha hali ya vifo vya mauaji katika riwaya ya vipuli vya figo na vile vinavyojitokeza katika nchi ya Uganda mintarafu wilayani za katikati mwa Uganda hasa Masaka.Kueleza chazo cha vifo kama vinavyojitokeza katika riwaya ya vipuli vya figo. Kuainisha uhusiano kati ya hali hizi mbili, Kupendekeza mbinu za kurekebisha hali hii ya [cimaisha. rvlalengo haya yalitimilika kwa kutumia mahojiano, hojaji zilizozopewa wakazi wa wilaya ya N4asaka. Uteuzi wa sampuli, uchunguzi shirikishi pia. Hizi mbinu zote zilitumika katika Likusanyaji wa data. Wahojiwa 50 ndio walioturniwa kukusanya data hii.
Description: Tasnifu va utafiti iliyowasilishwakwenye idara va lugha na mawasiliano katikakitivo cha sanaa na sayansi za jamii il! kukidhii baadhi yamahitaji va kuhitimu shahada va sanaa na elimu va chuo kikuu cha, Kampala International University.
URI: http://hdl.handle.net/20.500.12306/2634
Appears in Collections:Bachelor of Education

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Bwema Keneth.pdfFull text5.47 MBAdobe PDFThumbnail
View/Open


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.