Uciiunguzi linganisfei wa vifo vya mauaji katika riwava va vipuli vya figo na vile vinavyojitokeza jamiini Uganda Mintarafu Ilavan! Masaka
Loading...
Date
2017-09
Authors
Bwema, Keneth
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kampala International University ,College of Education
Abstract
Utafiti huu ulikusudia kuchunguza ulinganishaji wa vifo vya mauaji katika Riwaya ya vipuli vyo
figo na vile vinavyojitokeza nchiniUganda mintarafu wilayani Masaka
Nialengo ya utafiti huu yalikuwa,kubainisha hali ya vifo vya mauaji katika riwaya ya vipuli vya
figo na vile vinavyojitokeza katika nchi ya Uganda mintarafu wilayani za katikati mwa Uganda
hasa Masaka.Kueleza chazo cha vifo kama vinavyojitokeza katika riwaya ya vipuli vya figo.
Kuainisha uhusiano kati ya hali hizi mbili, Kupendekeza mbinu za kurekebisha hali hii ya
[cimaisha.
rvlalengo haya yalitimilika kwa kutumia mahojiano, hojaji zilizozopewa wakazi wa wilaya ya
N4asaka. Uteuzi wa sampuli, uchunguzi shirikishi pia. Hizi mbinu zote zilitumika katika
Likusanyaji wa data. Wahojiwa 50 ndio walioturniwa kukusanya data hii.
Description
Tasnifu va utafiti iliyowasilishwakwenye idara va lugha na mawasiliano katikakitivo cha sanaa na sayansi za jamii il! kukidhii baadhi yamahitaji va kuhitimu shahada va sanaa na elimu va chuo kikuu cha, Kampala International University.
Keywords
Linganisfei